
Founder & Lead Developer of MUST Market
Mbeya University of Science and Technology (MUST)
MUST Market ilizaliwa kutokana na uhitaji halisi wa wanafunzi kupata vifaa vya masomo,bidhaa na huduma muhimu kwa urahisi ndani ya mazingira ya chuo. Leo, tunajenga zaidi ya marketplace. MUST Market inalenga kuwa sehemu moja ambapo mwanafunzi anaweza kununua na kuuza bidhaa, kupata huduma, na kupitia Msosi Fasta, kuagiza chakula na kukifikishiwa hadi mlangoni.Tunatumia teknolojia kurahisisha maisha ya mwanafunzi na kujenga mfumo wa huduma unaolenga mahitaji halisi ya jamii ya MUST
Jukwaa linalorahisisha maisha ya chuo kwa kuwaunganisha wanafunzi na bidhaa, huduma na fursa wanazohitaji kila siku.